Kikhamyang

Kikhamyang ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakhamyang. Mwaka wa 2003, idadi ya wasemaji wa Kikhamyang imehesabiwa kuwa watu 50 tu,yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhamyang iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search